By: Richard Mwambe
Tanzania kwa kushirikiana na wataalam wa nyuklia kutoka Urusi inaanza kurutubisha urani kwa matumizi ya binadamu na silaha za kujilinda. Lakini ujasusi mkubwa unafanyika katika mradi huo na mara baada ya mifumo hiyo ya Kinyuklia kukaa sawa kwa awamu ya kwanza, KOKWA inapotea katika mazingira tatanishi ndani ya jumba la Makumbusho ya Taifa.
KOKWA ni nini?
Nini kilitokea?
Ni wakati mwingine TSA wanaingia kazini kutatua kitendawili hicho.
jipakulie PDF yako uburudike na kipande hiki.
By: Richard Mwambe
By: richard MWAMBE
By: Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
By: Richard Mwambe