KIJASHO CHEMBAMBA - 02

By: Richard Mwambe

0
Available Stock:

Ilipoishia…

“Endeleeni na uchunguzi wenu… mnacheza michezo ya kitoto mbele yangu…” akasema huku akiondoka eneo hilo. Akaingia kwenye gari lake na kuyaacha maegesho ya ile hoteli. Akatokomea mjini. Breki yake ya kwanza ilikuwa katika Kliniki ya Masista wa Franciscaine Ankadifotsy. Hakuwa na lolote hapo zaidi ya kuegesha gari na kulitelekeza.

Alivuta hatua mpaka barabara kuu na kutafuta usafiri wa kukodi. Yote hayo ilikuwa ni kutaka kuwapoteza adui zake endapo wangemfuatilia. Taksi ya kwanza akaicha ipite, ya pili vilevile. Ya tatu akaiabiri na kuondoka zake.

 

Endelea kwa kujipakulia PDF yako ya sehemu ya pili....

View or Download Book
📘 View PDF ⬇ Download

Related Products

Product Image
KIJASHO CHEMBAMBA - EP 01

By: Richard Mwambe

Product Image
KITANZI CHA MWISHO

By: Richard Mwambe

Product Image
ISABELA - Mpango Hasi

By: Richard R. Mwambe

Product Image
PASIPOTI YA GAIDI - Kitabu Cha 1

By: Richard Mwambe