By: Richard R. Mwambe
ISABELA, msichana mdogo, mwanafunzi wa chuo. Kwa isivyo bahati anajikuta katika mzozo mzito hasioutegemea. Ni siku ile alipokuwa akirudi masomoni na kujikuta anakosa usafiri wa basi, hivyo inampasa kutumia usafiri wa treni ambao unageuka zahma kwake.
katika benchi la moja ya mabanda ya Mama Ntilie pale Kasulu, anaokota kadi sakima (memory card) na kuichukua. Ndani ya kadi ile anagundua siri nzito ya mapinduzi yaliyopangwa kufanywa.
Wale waliopoteza kadi hiyo wanaanza kuhaha kuitafuta, kwa bahati nzuri mama ntilie yule anawaambia kuhusu msichana huyo. Jamaa hao wanamfuatilia Isabela na kuamua kuingia kwenye treni ili waweze kuipata kadi ile.
Isabela anafanikiwa kuwasiliana na wanausalama akiwamo Kamanda Amata, TSA 1. Nye anaingia kwenye mgogoro huo...
Je Kadi ilipatikana?
Ni mpango gani hasi uliokuwa ndani yake?
Hii hapa ISABELA, ipakue sasa uburudike
By: richard MWAMBE
By: Richard Mwambe
By: Richard Mwambe
By: Richard Mwambe