K.O.K.W.A Sehemu ya 09

By: Richard Mwambe

0
Available Stock:

Ilipoishia...


Amata alielewa na alijua kuwa Mkuju na Bahi ni maeneo muhimu sana kwa Taifa la Tanzania kwakuwa kwayo paligundulika madini ya Urani na tayari mpaka wakati huo kule Mkuju uchimbaji wa majaribio ulikuwa umeanza. Kuna uhusiano gani wa huyu jamaa na haya maeneo? Akajiuliza. Na vipi kuhusu Kibaoni huko Dumila? Ninahitaji kutembelea maeneo haya haraka iwezekanavyo! Akawaza. Kamanda Amata aliona hatua aliyofikia ya kutafuta taarifa. Mpaka hapo aliona sasa anahitaji kuziweka pamoja taarifa hizo hata kama ni chache, aliamini kuwa zitampa jambo kubwa. Akauendea mlango na kutoka nje, akaurudishiakama alivyoukuta na kuondoka zake pasi na upinzania wowote. Haiwezekani!

 

 

Endelea...

Related Products

Product Image
ISABELA - Mpango Hasi

By: Richard R. Mwambe

Product Image
K.O.K.W.A Sehemu ya 07

By: Richard R. Mwambe

Product Image
MKATABA WA KIFO (Jiue Mwenyewe)

By: richard MWAMBE

Product Image
K.O.K.W.A Ep. 01-06

By: Richard Mwambe