By: Richard Mwambe
Ilipoishia…
“Endeleeni na uchunguzi wenu… mnacheza
michezo ya kitoto mbele yangu…” akasema huku akiondoka eneo hilo. Akaingia
kwenye gari lake na kuyaacha maegesho ya ile hoteli. Akatokomea mjini. Breki
yake ya kwanza ilikuwa katika Kliniki ya Masista wa Franciscaine Ankadifotsy.
Hakuwa na lolote hapo zaidi ya kuegesha gari na kulitelekeza.
Alivuta hatua mpaka barabara kuu na
kutafuta usafiri wa kukodi. Yote hayo ilikuwa ni kutaka kuwapoteza adui zake
endapo wangemfuatilia. Taksi ya kwanza akaicha ipite, ya pili vilevile. Ya tatu
akaiabiri na kuondoka zake.
Endelea kwa kujipakulia PDF yako ya sehemu ya pili....
By: Richard Mwambe
By: Richard R. Mwambe
By: Richard Mwambe
By: Richard Mwambe